ChickMagnet JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,715 Reaction score 3,590 Apr 30, 2014 #1 Habari za muda huu ..... Nilikua naomba kujua rand 100 za south africa ni sawa na shilingi ngapi za tanzania
Habari za muda huu ..... Nilikua naomba kujua rand 100 za south africa ni sawa na shilingi ngapi za tanzania
Jay Msimamo Member Joined Jul 11, 2013 Posts 92 Reaction score 17 Apr 30, 2014 #2 Ni sawa na muungano wa Tanganyika na Zanzibar...!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Apr 30, 2014 #3 nenda duka la kuuzia fedha huko utajua ....
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,083 Apr 30, 2014 #4 rodneyrodninho said: Habari za muda huu ..... Nilikua naomba kujua rand 100 za south africa ni sawa na shilingi ngapi za tanzania Click to expand... hii peleka jukwaa la uchumi na biashara
rodneyrodninho said: Habari za muda huu ..... Nilikua naomba kujua rand 100 za south africa ni sawa na shilingi ngapi za tanzania Click to expand... hii peleka jukwaa la uchumi na biashara
M motsepe Senior Member Joined Apr 8, 2014 Posts 137 Reaction score 34 May 11, 2014 #5 About tsh14000-14200 inategemea na uchumi