WanaMMU-JF..........habari za weekend?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba akiwa kwenye mahusiano na mkaka basi huyo kaka mambo yake yanakuwa tambarare........
2. Wale ambao huwa wanakuwa kama wana nyota mbaya (wenyewe huita gundu???) ambao wakiwa kwenye uhusiano basi wenzi wao huwa na wakati mgumu sana kwani hakuna kinachofanikiwa be it kikazi, biashara yaani kimaisha kwa ujumla!!...
(Sasa sijui in yale ya Hayati Sheikh Yahya!)
So naomba msaada wa kujua yafuatayo
1. Je kuna ukweli wowote katika hili? na
2. Kama ni kweli, je na upande wa wanaume nao wapo wenye kismati na wasio nacho?
ni hayo tu, aksanteni
Hahahah hana lolote huyo, anajijua ati ye mtu wa x = f(xi-xj) sijui sasa umwambie ajibu essay wapi na wapi?? anakimbia tuHahahahah! lol! Kumbe eeh! unaonekana mkali sana wa madudu haya
:focus:
is that ur lucky charm a member of jf????????
Mie nimeliona but nikahisi watakuwa wanajuana hawa MTM na The Boss, Ni waarabu wa Pemba hawa kamanda wangu...........swali gani hili aisee:noidea:
Hahahahah! lol! Kumbe eeh! unaonekana mkali sana wa madudu haya
:focus:
Hahahah Mbu bwana...........we ulikimbia kusoma masomo ya Essay loh
pole bana
Hahahah hana lolote huyo, anajijua ati ye mtu wa x = f(xi-xj) sijui sasa umwambie ajibu essay wapi na wapi?? anakimbia tu
Kaka,....Sssshhh, hiyo ni copy & paste bana. Si unakumbuka enzi za mlungula?
haya maswali mfululizo ya Mwj1 yatanipelekea kuota nahojiwa Central Police!
...mnh, si afadhali ingekuwa Essay! hii ni sawa na kujaza Police Report - Kisheria!
haijalishi.............. ni mambo ya ajabu hayoMie nimeliona but nikahisi watakuwa wanajuana hawa MTM na The Boss, Ni waarabu wa Pemba hawa kamanda wangu.
Mwj1...tatizo wajua ni nini Mpenzi?
akili inataka kukubali haya mambo ya "Zari" sijui bahati, kismati, mkosi nk...
inapokuja suala la kulaumiana eti mnazibiana nyota kwenye ndoa mnh!...mimi sikubaliani nayo bana.
would this be a useful post in this thread?is that ur lucky charm a member of jf????????
Toka niwahi kusoma posts zako 'za kulivua penzi' n.k. huko nyuma na sasa unasomeka kutokuwa na bahati katika 'sekta' ya mapenzi. Inaonekana uliumizwa vya kutosha. Pole shoga. Mungu atakupa tu 'kismati' na si 'li gundu'Mie zamani nilishawahishutumiwa na mtu kuwa nimeyaharibu maisha yake nothing seems to be right like they used to be, psa imemkimbia na madili yanayeyukia mlangoni!! Sasa nimebaki najiuliza kama ni kweli!
khe khe kheheheeeeeeeeeeee.... hili kamanda wangu si la kweli, hatujuani wala niniMie nimeliona but nikahisi watakuwa wanajuana hawa MTM na The Boss, Ni waarabu wa Pemba hawa kamanda wangu.
Positive na negative, na good na bad influences zipo bana. Na uwepo wake si wa kiimani bali ni wa kiuhalisia kabisa.
hakuna cha influence
mwanamke mshirikina na ambaye ameshaua huko nyuma
atakuwa na mkosi tu
ukilinganisha na mwanamke mwenye roho safi
na hana damu mikononi mwake
Kuna mambo mengine yanapuuzwa na jamii fulani kwa vile sio ya kisayansi, lakin yana effect kubwa kwa binadamu. Ndio kama hili.
Kuna imani pia kama mzazi wako amefariki huku hujatimiza alichokwambia ufanye kabla hajafa, basi unakuwa umeua bahati zako zote ktk maisha. Kwa mimi na Mbu inaweza isifanye kazi (yaani tusiamini ndo sababu ya mikosi yetu) lakin kwa Nyani Ngabu na Dark City ikafanya kazi.
So mimi nadhani ni aina fulani ya imani ambayo mtu anaweza akawa amekua nayo tangu anakuwa, au amejiaminisha hivyo.
Kwahiyo, kupitia hiyo imani unakuwa "unajidhuru mwenyewe" (Nieleweni vizuri hapa)
would this be a useful post in this thread?
LOL
nimekuelewa bosscould be usefull to me..
i am searching my own lucky charm lady lol
i can borrow yours lol
Hahaahah haya bwana kalale sasa.......natumaini kesho utawezanijibu loh nisijesababisha mengine bure nkakuharibia usiku wako mydia.
Hala hala usijentaja usiku afu 'Wifi" akamind.
Nakubaliana nawe dia ila pia linapokuja swala la ndoa nadhani huwa kuna baraka flani hivi ambayo MUNGU huipitishia kwenye ndoa kwa ajili ya mafanikio ya kifamilia kwa yule anayechakarika......
Toka niwahi kusoma posts zako 'za kulivua penzi' n.k. huko nyuma na sasa unasomeka kutokuwa na bahati katika 'sekta' ya mapenzi. Inaonekana uliumizwa vya kutosha. Pole shoga. Mungu atakupa tu 'kismati' na si 'li gundu'