Hili swala la kuhamia dodoma je vyama vya wafanyakazi haviwezi Sema loloote juu ya ulipwaji wa uhamisho kwa wafanyakazi ili waweze lipwa stahiki zao? ? Maana naona wamekaa kimyaaaaaaa au kazi zao ni zipi? ??asante

Vyama siku hizi havina nguvu. Lazima wafanyakazi wapigwe tu, kama watu wameweza kubaka katiba we unadhani watashindwa kubaka haki za wafanyakazi??? Tatizo mambo yanaenda kiuchwara uchwara....