Naomba mnaelewa hapa nifafanulieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mnaelewa hapa nifafanulieni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Apr 8, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Katika kuusoma ule muswada wa kupitiwa upya kwa katiba, yapo maneno fulani nimekutana nayo, naomba mnisaidie kwa wanaoelewa hii lugha.

  (2) In the implementation of subsection(1 ),the Commission shall
  adhere to national values and ethos and shall, in that respect, observe
  inviolability and sanctity of the following matters:
  (a) the Union of Tanganyika and Zanzibar;
  (b) the existence of the Executive, Legislature and the Judicature;
  (c) the Presidency;
  (d) the existence of the Revolutionary Government of Zanzibar;
  (e) national unity cohesion and peace;
  (f) periodic democratic election based on universal suffrage;
  (g) the promotion and protection of human rights;
  (h) human dignity,equality before the law and due process of law;
  (i) the secular nature of the United Republic; and
  O the independence of the Judiciary.
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umetumia lugha gani mkuu...?
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  wanasema jadili yote isipokuwa hayo a, b, c..........i. na ndio hayo tunataka tuyajadili sisi ila wao wanataka kutuzuia..hakika patachimbika...


  wangeyaweka kwa kiswahili wala usingeuliza kamanda.......na hilo na ni tatizo tena kubwa sana katika mswaada huu   
 4. mwanakwetu

  mwanakwetu Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii ni sehemu ya mgogoro wa muswada huu ambao hauna maslahi kabisa kwa Taifa bali kwa kikundi fulani cha watu ili waendelee kuubuluza umma wa Watanzania. Sio siri mwaka huu patachimbika. Kama walikuwa wanasikia tu habari za Misri na Tunisia basi wajiandae kushuhudia kwa macho maana wao ndio wameichoka amani.
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwanza hicho kipengele chenyewe cha (1) kinachozungumziwa hapo kinasema hivi: Nanukuu:-

  9(1) The principle functions of the Commission shall be to:-
  (a) Collect and Coordinate public opinion
  (b) to examine and analyze the consistency and compatibility of the constitutional provisions relating to sovereignty of the people, political systems, democracy, rule of law and good
  governance; and
  (c) Make recommendations including a Draft Constitutional Bill, on how best the United Republic of Tanzania is to be governed in accordance with the will of the people at all times

  Kimsingi ni sawa na kusema katika kutekeleza majukumu haya, wanapaswa kuhakikisha maswala yanayotajwa kwenye sehemu ya (2) hayaguswa kabisa na yanapaswa kuwa "Sanctified" kana kwamba ni kumu-oppose Mtume Muhamad au kumchafua Bwana Yesu....no, huu ni upuuzi

  Kwa tafsiri ya haraka unaweza kuona tu kuwa muswaada huu unakusudia kulinda yale ambayo mpaka sasa yanaumiza vichwa vya watanzania (Namaanisha pande zote Zanzibar na Tanganyika)....na ndipo mambo ya msingi yalipoganda..

  Tunataka tuzungumzie Rais kama taasisi na madaraka yaliyoko mikononi mwake
  Tunataka tuzungumzie juu ya Muungano na namna ambavyo tunaweza kuamua uweje

  Sasa unaposema katika utekelezaji wa majukumu yao (yaani kukusanya public opinion, kuangalia consistency ya draft n.k) mambo haya yawe sanctified unamaanisha nini?

  Kiufupi ni sawa na kusema hakuna kitu na nikupotezeana muda tu, na hakuna lengo na katiba ya muda mrefu yenye uhalali wake wa kusema

  Ni sawa na kumuambia mtu nakupa ruhusa ya kuongea lakini ingia ongelea ndani ya chupa....non-sense
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Jamani huu ni usanii, tena ule wa kizamani. Anayekubaliana na huu mswada alaaniwe yeye na hadi kizazi chake cha nne...
   
 7. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nimesha edit mkuu
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Kweli kuna umuhimu wa muswada kuandikwa kwa kiswahili.
   
Loading...