Naomba mjadili hotuba hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mjadili hotuba hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Mar 22, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mimi hapo ndipo nashindwa kuelewa UPINZANI maana yake ni nini.
  Mimi ninavyojua chama cha upinzani ni kile chama kinachotofautiana kwa sera na itikadi na chama tawala yaani CCM,Sasa kama wanaojiita wapinzani wanakua wapinzani wa wapinzani tutarajie nini?Au kuna vyama tawala vingi vingine vikijiita wapinzani?
  Sioni mantiki ya wapinzani kutupiana vijembe kwa mambo yale yale ambayo kama si kukosa nafasi na muda wangeyafanya wao.
  inabidi tupatiwe elimu ya Uraia ili tuelewe majukumu ya vyama vya siasa.
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mi nachojua baada ya hamad rashid kuona anaukosa uongozi wa kambi ya upinzani bungeni basi akahamia ccm kwa huyo amerudi ccm moja kwa moja. Na si mpinzani tena
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Nafurahi kwani wanazidi kujenga chadema!
   
Loading...