zaidi ya kupenda.
huyu binti amenikuta nikiwa katikati ya jukwaa la ufuska, nilikuwa shikikiki na aliweka stratergy ya kunibadilisha na mapaka nikabadilika na kuwa mtu. hivi sasa natembea kifua mbele kwamba ubazazi nimeacha na akina brazameni najua hawatoacha mpaka wachongwe na madem hodari kama huyu.
pia sababu kubwa ni kuwa tabia yake imenivutia na kwa kuwa tunaheshimiana na kujaliana. kikubwa zaidi tunasikizana. Hivyo ilinichukua miaka minne kufikia uamuzi huu.
Kwa hiyo nimemwomba tufunge ndoa si kwa sababu ya mapenzi tu, bali zaidi ya hapo. (nawazimikia sana mabinti wa kiafrika).