Naomba mbinu za kumsahau EX

njia pekee ya kumsahau X wako jitahidi sana kukumbuka yale mabaya yoooote aliyokufanyia

achana na mazur we vuta hisia ya yale mabaya aliyokutendea

ukifanya hivyo hutotaka hata kumsikia
 
hArmonisempo wengi
 
njia pekee ya kumsahau X wako jitahidi sana kukumbuka yale mabaya yoooote aliyokufanyia

achana na mazur we vuta hisia ya yale mabaya aliyokutendea

ukifanya hivyo hutotaka hata kumsikia
Ilishanitokea nikiwa Chuo nilifeli masomo Ile ilitosha kumchukia, kumbuka mabaya yake itakusaidia kumuona MTU mby Sana asiyekufaa kabisa. Tatizo alikuwa mtamu balaa
 
Bwia tu unga mkuu au jivutie bangi na kula mirungi kama wasomali....utasahau tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…