Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,580
Tumpeleke ngende huyuUkimuona utaweza kuvumilia au utatoka ndukiiiii![]()
Tumpeleke ngende huyuUkimuona utaweza kuvumilia au utatoka ndukiiiii![]()
Tumpeleke ngende huyu
Kule kila mtu fundiBibi si alikufa? Au tyr mrithi mikoba kapatikana?
Twende tukalisakafie penzi letu, wanok nok wasije kulisepeshakhaaaaaaa!! Umenishinda we mwanaume
Sikia kijana, kamata paka na umuoshe uso. Maji Yale yakinge unaweza wew usoni. Kisha chukua fimbo ya kioande cha mti wa muhogo ifiche kiunoni. Utamuona laiv... Na Kwa sabab ana vitimbi ataanza kukatika viuno na kukusiginia. Mchape na fimbo





daa hatari hiyo unaweza shituka watu wamejaa chumbani ha ha ha haBaby sisy😍uko poa?Ukimuona utaweza kuvumilia au utatoka ndukiiiii![]()
Baby sisyuko poa?



Huyo Musa anawapa nini? Mbona kawashika akili zenu kirahisi sana?Nenda kwa Kuhani Musa chukua kifaa Cha kiroho Cha maji ya mfuniko mweupe. .
Mwaga nyumba nzima ukiwa unaomba kwa Imani ya jina la YESU...
Atasema yeye mwenyewe kua ni mchawi ..
Paka mkubwa. Ila utaona mauzauza sana ukimuona mwanga. Sijui kama utapona tenaPaka wa umri wowote au wale vichanga ambavyo havijafungua macho?
Katufundisha neno la Mungu na tumelifanyia kazi tunaona matokeo...Huyo Musa anawapa nini? Mbona kawashika akili zenu kirahisi sana?
Sawa, imani yako imekuponya.Katufundisha neno la Mungu na tumelifanyia kazi tunaona matokeo...
AminaSawa, imani yako imekuponya.