Naomba Mawazo Yenu

Naomba Mawazo Yenu

Gracious

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
1,889
Reaction score
1,083
Goodmorning;

Nimefikiri sana ni zawadi gani nitampa mpenzi wangu na sijapata jibu

Ni zawadi ya kawaida tu nzuri and simple

Ni msichana anaependa urembo and she is not a middle class or lower class,so she is high class.

Najaribu kufikiri sijapata jibu ni zawadi gani mabinti wanapenda

Naomba wadau mnipe walau idea chache za Gift ambazo wapenzi wanapenda
 
Habari yako kaka "Gracious"
 
Mwee....mweeh high class not more than laki 2. Nilifikiri ka-Raum au Spacio kangefaa. Ok, do research anapendelea nn? Kuna designer make-ups, perfumes au kind of brazilian wigs
 
Sitaki kutumia zaidi ya laki 2

buy her a expensive perfume, usijaribu kununua nguo wala kiatu au cheni sijui, hutomwona akivaa, many girls tunapenda kununua vitu wenyewe, wavulana hamjuagi kuchagua vitu vizuri, so nenda duka la perfume (not kariakoo or local shops), then choose the good one, kama huwez kuchagua bora umwambie mdada akuchagulie, ununue hyo ya laki mbili yote iishie kwa perfume.
 
Mwee....mweeh high class not more than laki 2. Nilifikiri ka-Raum au Spacio kangefaa. Ok, do research anapendelea nn? Kuna designer make-ups, perfumes au kind of brazilian wigs

Duh...sasa hapo kazi...kama yeye sio high class na demu wake highclass
 
Unaonaje mkuu ukamnunulia kopi ya Rasimu ya katiba? na ukiwa na hela umpe na katiba ya sasa?. That will be ideal.

Zawadi simple simple: Unyunyu wa maana, mkufu(kwa anayependa), hereni za maana, Saa ya mkononi ya maana, nguo nguo hizi, viatu vya maana, Outing ya maana, Simu (kama kuna toteo pendwa au aina unayotaka atumie).... hapa sijaongelea vitu vidogo dogo hivi ambavyo ni vya kila siku tu.

Wanawake wanathamini sana zawadi bila kujali gharama yake, japo usipokuwa makini kuna zawadi ukinunua unakua unajichoresha au kujishushia hadhi sana sana kwenye aina ya saa, neckless/hereni, unyunyu, viatu, na nguo. So ni muhimu pia kuzingatia level ya exposure ya huyo muhusika na hadhi yake.
 
Duh!!!

Mkuu unashindwaje kujua zawadi ya kumpatia mchuchu wako...?
 
mi Niliapewa Siri Na Evelyn Salt
zawadi Itakayomfurahisha Ni Gari!...full Stop.

Gari anayoendesha ni expensive kuliko hata gari yangu.
Na siko tayari kujipiga hadi kununua gari
I want a simple thing.....that a girl may like
 
Unaonaje mkuu ukamnunulia kopi ya Rasimu ya katiba? na ukiwa na hela umpe na katiba ya sasa?. That will be ideal.

Zawadi simple simple: Unyunyu wa maana, mkufu(kwa anayependa), hereni za maana, Saa ya mkononi ya maana, nguo nguo hizi, viatu vya maana, Outing ya maana, Simu (kama kuna toteo pendwa au aina unayotaka atumie).... hapa sijaongelea vitu vidogo dogo hivi ambavyo ni vya kila siku tu.

Wanawake wanathamini sana zawadi bila kujali gharama yake, japo usipokuwa makini kuna zawadi ukinunua unakua unajichoresha au kujishushia hadhi sana sana kwenye aina ya saa, neckless/hereni, unyunyu, viatu, na nguo. So ni muhimu pia kuzingatia level ya exposure ya huyo muhusika na hadhi yake.
Tized made my day...eti katiba...doubting if she'l like it
I am thinking of the best saa....ni aina ipi?
 
Last edited by a moderator:
Sitaki kutumia zaidi ya laki 2

Aaah......basi tena......mi nilikuwa nshawaza mambo ya limende limoja ligumu.........wayiiii.......laki mbili mnunulie chupa ya Glenmorangue.........
 
She doesnt like vitu vya muda mfupi....limende ndilo nini hilo...hebu funguka ...i may rethink
 
Aaah......basi tena......mi nilikuwa nshawaza mambo ya limende limoja ligumu.........wayiiii.......laki mbili mnunulie chupa ya Glenmorangue.........

mmmh seems you are into thos stuffs sana!!!
 
Back
Top Bottom