Oman - Muscat.
Member
- Jan 1, 2012
- 38
- 8
1.Umemuacha ambae bado unampenda.POLE SANA.......huenda yeye ndie kakuacha au umemwacha kwa hasira.
2. Kama unaweza kusamehe na mkarekebisha...rudiana nae ili upate kile ROHO INAPENDA..KAMA HAIWEZEKANI.
TAFUTA MBADALA HARAKA SANA.
1.Tafuta mtu ambae atakuwa na sifa zaidi ya zile alizokuwa nazo.
2. Futa kumbukumbu zake zote kwako eg. namba za simu, e mail, picha zake weka mbali na wala usiwasiliane na wale wote waliokuwa connected nae.
3. Ule wakati ambao huwa mnakuwa wote fanya kitu mbadala eg kusoma vitabu,michezo,kunywa au kwenda club or any social activity.
ulitaka muonane na akaktaa,akatoa sababu gani???/Samahani kwa sikutambua gender yangu haiko, mimi ni mwanamke wa miaka 25 nimegombana nae akapata hasira kutaka tuachane, nimemuomba tumalize ugomvi kwa njia nyingine alikataa. Mimi ndio mkosaji kwakua nilingangania tuonane ile siku
nichukue mimi
jamani dia mambo yetu umeyaweka hadharani huku!!!! basi nimekusamehe hata mm roho inaniuma ntapata nani wa kunipa mbadala wa kitumbua zaidi yako.........dia njoooo. mis yu so machiSamahani kwa sikutambua gender yangu haiko, mimi ni mwanamke wa miaka 25 nimegombana nae akapata hasira kutaka tuachane, nimemuomba tumalize ugomvi kwa njia nyingine alikataa. Mimi ndio mkosaji kwakua nilingangania tuonane ile siku
ulitaka muonane na akaktaa,akatoa sababu gani???/
kwani kuna limit ya kuonana na mpenzi wako????
alikua anatafuta chanzo cha kuachana tuhuyo,mulika mwizi.
Rudiana nae kama huwezi kuishi bila yeye[/QUOTE
Hataki hata kunisikiliza, na tatizo mimi Nina pumu huzuni inapelekea kila dakika nitafute spray ya pumu.
jamani dia mambo yetu umeyaweka hadharani huku!!!! basi nimekusamehe hata mm roho inaniuma ntapata nani wa kunipa mbadala wa kitumbua zaidi yako.........dia njoooo. mis yu so machi