Naomba mawasiliano ya chuo cha ualimu Singida

PaulSweke

Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
35
Reaction score
7
Msaada Kwa Anaekifahamu chuo cha Ualimu singida nahitaji mawasiliano ya chuon pia fomu husika kwa ajili yakujiunga.
 
kaka ushakifuatilia kile chuo? wanafunzi kibao wameshahama pale chuo hakina usajili kile kua makini em fuatilia alafu uje unipe urejesho...,chuo kipo ginnery maeneo ya mandewa singida mjini barabara ya sepuka
 
ha ha ha muambie ukweliii, accredation ya nacte hamna pale,
 
Msaada Kwa Anaekifahamu chuo cha Ualimu singida nahitaji mawasiliano ya chuon pia fomu husika kwa ajili yakujiunga.
Siamini kama chuo kama hicho hakijasajiliwa kwani chuo kikubwa sana, unayehitaji kupata usahihi wa hilo nicheki j2 mchana ntakupa majibu yote, nina raia wapo hapo chuoni
kaka ushakifuatilia kile chuo? wanafunzi kibao wameshahama pale chuo hakina usajili kile kua makini em fuatilia alafu uje unipe urejesho...,chuo kipo ginnery maeneo ya mandewa singida mjini barabara ya sepuka
 
Aliechaguliwa hapo katuma mombi kupitia nacte ndo wamemchagua, Hajui anafanyaje apate joining maana ypo mbali kidogo
 
Chuo kimesajiliwa wala usidanganywe na ambao hawajui mi kuna jamaa zangu kibao wamesoma hapo.
 
kaka ushakifuatilia kile chuo? wanafunzi kibao wameshahama pale chuo hakina usajili kile kua makini em fuatilia alafu uje unipe urejesho...,chuo kipo ginnery maeneo ya mandewa singida mjini barabara ya sepuka
Si kweli chuo kimejiliwa.
 
kaka ushakifuatilia kile chuo? wanafunzi kibao wameshahama pale chuo hakina usajili kile kua makini em fuatilia alafu uje unipe urejesho...,chuo kipo ginnery maeneo ya mandewa singida mjini barabara ya sepuka
Chuo kimesajiliwa ndugu.
 
Kusajiriwa na kupiga magumashi are two separatable thing
Unaweza sajiriliwa ukaendelea kupiga magumashi yako ambayo yanakupotezea credit na reputation kwa wadau.
Kile chuo kinatabia ya kucheza na magumashi mara watoe profession mchundo mara usikie wanafunzi wanaosoma pale hawana sifa yaani malonya lonya tu ndo shida yao
 
Back
Top Bottom