bryshilar Member Joined May 31, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Jun 2, 2014 #1 Upo katika hiyo nafasi na unatakiwa umuokoe mtu mmoja tu kati ya Mama Yako Mzazi, Mke wako kipenzi au Mwanao wa kiume wa pekee. Attachments 1401721005552.jpg 20.2 KB · Views: 44
Upo katika hiyo nafasi na unatakiwa umuokoe mtu mmoja tu kati ya Mama Yako Mzazi, Mke wako kipenzi au Mwanao wa kiume wa pekee.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,569 Reaction score 28,484 Jun 2, 2014 #2 Mother,. Children and Wife I Can Find Another One But Not My Mother!!
T Theodore Bagwell JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 940 Reaction score 226 Jun 2, 2014 #3 wife aisee, wala usiniulize kwa nini maana unajua
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,791 Jun 2, 2014 #4 Wai, Nyamunge na kijana wangu Malima waki r.i.p naweza kumfata mama yeyoo nyingine nikaweka ndani, by the way withing michepuko huwezi kosa mmoja ila mama Kitu kingine acha kabisa!
Wai, Nyamunge na kijana wangu Malima waki r.i.p naweza kumfata mama yeyoo nyingine nikaweka ndani, by the way withing michepuko huwezi kosa mmoja ila mama Kitu kingine acha kabisa!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,580 Reaction score 18,952 Jun 3, 2014 #5 ngoja nifikirie....
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 Jun 3, 2014 #6 Bora na mimi nijitose kila mmoja ana umuhimu kwangu