Yo majesty JF-Expert Member Joined Sep 13, 2023 Posts 705 Reaction score 1,222 Dec 13, 2024 #21 Fundi maiko anakujengea kwa million 120 tu.nguzo anaweka mianzi
Worldboss JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,933 Reaction score 3,776 Dec 13, 2024 Thread starter #22 Yo majesty said: Aiseee watu pesa mingi me hata chumba na sebule naogopa kuulizia makadirio maana pesa Click to expand... Tungekuwa tuna pesa tusingeuliza mkuu maisha ya watanzania haya tofautiani pakubwa
Yo majesty said: Aiseee watu pesa mingi me hata chumba na sebule naogopa kuulizia makadirio maana pesa Click to expand... Tungekuwa tuna pesa tusingeuliza mkuu maisha ya watanzania haya tofautiani pakubwa
Yo majesty JF-Expert Member Joined Sep 13, 2023 Posts 705 Reaction score 1,222 Dec 13, 2024 #23 Mshamba wa kusini said: Tungekuwa tuna pesa tusingeuliza mkuu maisha ya watanzania haya tofautiani pakubwa Click to expand... Ukute unaishi kwa mjomba ni mama hafu unaota jenga orofa
Mshamba wa kusini said: Tungekuwa tuna pesa tusingeuliza mkuu maisha ya watanzania haya tofautiani pakubwa Click to expand... Ukute unaishi kwa mjomba ni mama hafu unaota jenga orofa
Worldboss JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,933 Reaction score 3,776 Dec 14, 2024 Thread starter #24 Yo majesty said: Ukute unaishi kwa mjomba ni mama hafu unaota jenga orofa Click to expand... Kibongo bongo siko vibaya nikijipinda nashusha jengo
Yo majesty said: Ukute unaishi kwa mjomba ni mama hafu unaota jenga orofa Click to expand... Kibongo bongo siko vibaya nikijipinda nashusha jengo