Naomba Majina ya wilaya kongwe nchini

Naomba Majina ya wilaya kongwe nchini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,711
Reaction score
57,221
Wakuu naombeni mniambie wilaya za zamani zaidi hapa nchini yaani zile kongwe ambazo labda wakoloni walizianzisha mara tu walipofika au labda sisi baada ya kupata uhuru tukazianzisha.
 
Kuanzia uhuru mpaka lini? Maana wilaya zimekua zikiongezeka siku hadi siku
 
Sasa hii itakusaidia nini ktk maisha yako ya kila siku?
 
Back
Top Bottom