Naomba maelezo kuhusu Recategorization kwenye suala la ajira

SAM MOLE

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
27
Reaction score
17
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums.

Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira.

Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari.

Niliomba ajira hii baada ya account ya Ajira portal kuleta shida na kuninyima fursa ya kuomba utabibu.

Je Itawezekana Mimi kubadilisha kada ya Ajira kutoka education kwenda Afya kulingana vigezo nilivyoweka? Na itachukua muda Gani kufanya Recategorization kama Itawezekana?

Naombeni ushauri wadau.
 
Habari za muda huu wadau wa jamii forum.
Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira.
Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari. Niliomba ajira hii baada ya account ya Ajira portal kuleta shida na kuninyima fursa ya kuomba utabibu.
Je Itawezekana Mimi kubadilisha kada ya Ajira kutoka education kwenda Afya kulingana vigezo nilivyoweka? Na itachukua muda Gani kufanya Recategorization kama Itawezekana?

Naombeni ushauri wadau.
Heee! Nenda karipoti kwanza...kwahiyo unataka kurudi diploma?
 
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums.

Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira.

Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari.

Niliomba ajira hii baada ya account ya Ajira portal kuleta shida na kuninyima fursa ya kuomba utabibu.

Je Itawezekana Mimi kubadilisha kada ya Ajira kutoka education kwenda Afya kulingana vigezo nilivyoweka? Na itachukua muda Gani kufanya Recategorization kama Itawezekana?

Naombeni ushauri wadau.
1. Nenda kwanza karipoti kituo cha kazi ulikopangiwa. Hii ni hatua muhimu sana ili uwe ni Mwajiriwa hai. Kumbuka wapo walioajiriwa na wakafariki kabla ya kuripoti Kituo cha kazi(duty station). Unataka udhaniwe hivo kwamba ww ni mmoja wapo?
2. Recategorization anafanyiwa Mwajiriwa aliye kazini Tayari lakini akaenda kusoma/kujiendeleza na amefuzu masomo yake. Kama hicho alichoenda kusomea ni katika Fani hiyo-hiyo ya awali utaweza kuomba kufanyiwa marekebisho ktk ngazi ya mshahara e.g. ulikuwa Dip. holder lakini sasa ww ni Deg. holder ktk fani hiyo. Utafanyiwa recategorization na ngazi ya mshahara itazingatia kwa anayeajiriwa mara ya kwanza bila kuangalia ulikuwa umefikia ngazi gani ya mshahara kipindi ukiwa na Dip. i.e ni kama unaanza moja.
 
Samahan,
Maelezo mazur lkn naon km hujaelewa swal lake, n kwamba je inawezekana yy kuhama kutoka kada ya elimu kwenda kada ya afya?
 
Naomba pia kufaham kuhusu ili swala mana ata mm nimetafuta sana ufumbuz sahihi sjapata, **** alienambia kuwa kuwez kuhama kada kutoka edu kwenda afya lbd km ulikua nes u abadili kuwa dokt,au vingnevo ila n humo humo ndan ya kada1
Hata mm nataka kutoka ualim kwenda doct kabla sijaripot kituo cha kaz nilichopangiwa
Ukipata ufumbuz wa uhakika nijuze tafadhali
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums.

Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira.

Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari.

Niliomba ajira hii baada ya account ya Ajira portal kuleta shida na kuninyima fursa ya kuomba utabibu.

Je Itawezekana Mimi kubadilisha kada ya Ajira kutoka education kwenda Afya kulingana vigezo nilivyoweka? Na itachukua muda Gani kufanya Recategorization kama Itawezekana?

Naombeni ushauri wadau.
 
1. Nenda kwanza karipoti kituo cha kazi ulikopangiwa. Hii ni hatua muhimu sana ili uwe ni Mwajiriwa hai. Kumbuka wapo walioajiriwa na wakafariki kabla ya kuripoti Kituo cha kazi(duty station). Unataka udhaniwe hivo kwamba ww ni mmoja wapo?
2. Recategorization anafanyiwa Mwajiriwa aliye kazini Tayari lakini akaenda kusoma/kujiendeleza na amefuzu masomo yake. Kama hicho alichoenda kusomea ni katika Fani hiyo-hiyo ya awali utaweza kuomba kufanyiwa marekebisho ktk ngazi ya mshahara e.g. ulikuwa Dip. holder lakini sasa ww ni Deg. holder ktk fani hiyo. Utafanyiwa recategorization na ngazi ya mshahara itazingatia kwa anayeajiriwa mara ya kwanza bila kuangalia ulikuwa umefikia ngazi gani ya mshahara kipindi ukiwa na Dip. i.e ni kama unaanza moja.
Je kama alichosomea sio fani hio hio ya awali inakuaje?
 
Je kama alichosomea sio fani hio hio ya awali inakuaje
 
Samahan,
Maelezo mazur lkn naon km hujaelewa swal lake, n kwamba je inawezekana yy kuhama kutoka kada ya elimu kwenda kada ya afya?
Haiwezekani. Hizo ni kada mbili tofauti. Kama ni mwl. kwa sasa halafu akaenda kusomea e.g. Clinical medicine, atakuja kuomba Ajira pale zitakapotangazwa Ajira Wizara ya Afya. Yan atapitia mchakato sawa na wale waombaji wengine ambao hawajawahi kuwa katika Utumishi wa Umma. Kazi ya Ualimu ndo ameiacha.
 
Inawezekana , wewe karipot kisha ukishapewa barua ya kuthibitishwa andika barua k.k mkuu wa shule , k.k afisa elimu, k.k DMO kwenda kwa Mkurugenzi.
 
Atasubiri matangazo ya kazi ndipo aombe kuajiriwa i.e. atakuwa ni mmojawapo wa wanaosaka ajira. Atahusika kuomba, kufanyiwa usaili na akifanikiwa ataajiriwa kama mwajiriwa mpya kwenye fani husika aliyoomba.
Inawezekana vp kujiriw wakat atakuwa na check namba
 
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums.

Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira.

Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari.

Niliomba ajira hii baada ya account ya Ajira portal kuleta shida na kuninyima fursa ya kuomba utabibu.

Je Itawezekana Mimi kubadilisha kada ya Ajira kutoka education kwenda Afya kulingana vigezo nilivyoweka? Na itachukua muda Gani kufanya Recategorization kama Itawezekana?

Naombeni ushauri wadau.
Hongera sana kwa akili hii kubwa.Ni wachache wanaojiongeza kama ww.
 
Haiwezekani. Hizo ni kada mbili tofauti. Kama ni mwl. kwa sasa halafu akaenda kusomea e.g. Clinical medicine, atakuja kuomba Ajira pale zitakapotangazwa Ajira Wizara ya Afya. Yan atapitia mchakato sawa na wale waombaji wengine ambao hawajawahi kuwa katika Utumishi wa Umma. Kazi ya Ualimu ndo ameiacha.
Acheni kupotosha mtu yeyote anaweza hama kutoka katika kada moja kwenda nyingine kama nafasi ya hiyo fani ipo hujawahi ona mtu anaajiriwa kama muhidumu anasoma anakua muhasibu,jamaa anaweha hamia afya lakini lazima iyo nafasi yake ya awali aitumikie kwa miaka mitatu kwanza .

Kingine CO ana mshahara mzuri kuliko mwalimu mwenye degree
 
Samahan,
Maelezo mazur lkn naon km hujaelewa swal lake, n kwamba je inawezekana yy kuhama kutoka kada ya elimu kwenda kada ya afya?
Ndugu nenda karipoti. After that unaweza ongea na DMO kuhusu ujuzi wako baadaya ya hapo itakuwa rahisi kwa yeye kuongea na mkurugenzi kuhusu taaluma yako na umuhimu wako. Nadhani ukifanya hivi utafanikiwa haraka. Pitia kwa DMO
 
Nashukuruni sana Sana kwà maelezo mazuri. Nimepata mwanga. Hata hivyo nimesharipoti na swala langu nimehakikishiwa kwamba Recategorization kwà swala linawzekana.Nitarudi kuleta mrejesho nikifanikiwa.
Asanteni Sana
 
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums.

Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira.

Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari.

Niliomba ajira hii baada ya account ya Ajira portal kuleta shida na kuninyima fursa ya kuomba utabibu.

Je Itawezekana Mimi kubadilisha kada ya Ajira kutoka education kwenda Afya kulingana vigezo nilivyoweka? Na itachukua muda Gani kufanya Recategorization kama Itawezekana?

Naombeni ushauri wadau.
Karipoti kwanza .. pangiwa kituo.... Fanya kazi angalau miezi 6 mpaka mwaka... ukipata barua ya kuthibitishwa kazini ndio unaomba recate lakini pia ni mpaka mwajiri wako awe na huo uhitaji ...
 
Back
Top Bottom