Naomba kwa mwenye program ya HP Deskjet 3070A printer

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
Wadau habari! Naomba msaada kwa yeyote mwenye program ya HP Deskjet 3070A printer, kwani cd yake imevunjika na nimeformat laptop yangu.
 
[h=2]HP Deskjet 3070A e-All-in-One Printer[/h]

The Full Feature Software and driver solution is the complete software solution intended for users who want more than just a basic driver.
IMPORTANT NOTES
For Windows XP Starter Edition, Windows Vista Starter Edition and Windows 7 Starter Edition
• Is supported for USB only




Download hapa http://ftp.hp.com/pub/softlib/software12/COL37947/al-109010-3/DJ3070_B611_1315-1.exe
 
pia ukitaka cd yake mimi ninayo km utapata shida ktk hiyo download, napatikana kwa namba hii 0655 600 437. dsm
 
Ubarikiwe sana dada angu fatm, nimefanikiwa 100%,. pia inaonyesha lugha ya kikorea najaribu kuibadilisha nashindwa msaada tafadhari​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…