habari!mimi nimehitimu advanced diploma in computer science 2012.naomba kazi yoyote inayousiana na professional yangu kama volunteer.anaweza kunisaidia awasiliane nami kupitia 0656063933 au ani-PM
Kama upo dar....jaribu kuitafuta kampuni moja inaitwa DAMA MEDIA LTD....nadhani utapata nafasi ukiongea nao since una professional ya Computer science!
Jaribu kwenda UCC branch ya pale posta Jengo la CRDB azikiwe street ukaulize walikuwa wanahitaji tutorials kwa ajili ya kufundisha computer studies pale chuoni.