naomba kuuliza

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Eti Katibu wa CCM alikuwa mwalimu? Hapa nabishana na mtu, mimi nasema sio kweli, ila yeye anasema ni kweli
 
ni kweli mdau!alikuwa teacher tena wa primary ya shule ya msingi,nadhani ilikuwa kigoma!ila nasikia alikumbwa na kashifa ya kufanya in-school management,akatimuliwa!
 
Katibu yupi? Wa Kijiji,tarafa, wilaya, Mkoa au Taifa? Kama ni manamba ni kweli na alimpachika mimba mwanafunzi wake akatimuliwa. Ref alegation za Silaa dhidi yake.
 
Eeee kaka alikuwa mwalimu wa shule ya msingi ni ingekuwa ni sheria za siku hizi angekuwa bado yupo lupango kwa kusababisha (na student wa kike) shule akafukuzwa kazi ndo akasjhauriwa kuwa kwenye siasa inaruhusiwa hiyo.
 
Back
Top Bottom