Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,451 Reaction score 4,655 Oct 26, 2009 #1 Hivi wema sepetu anafanya kazi gani?
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Oct 26, 2009 #2 mlachake said: Hivi wema sepetu anafanya kazi gani? Click to expand... Kwanza tuambie na wewe unafanya kazi gani kabla hatujaendelea na umbea wako.
mlachake said: Hivi wema sepetu anafanya kazi gani? Click to expand... Kwanza tuambie na wewe unafanya kazi gani kabla hatujaendelea na umbea wako.
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 Oct 26, 2009 #3 Kazi yake ni msanii wa kuigiza filamu.
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 Oct 26, 2009 #4 Chrispin said: Kwanza tuambie na wewe unafanya kazi gani kabla hatujaendelea na umbea wako. Click to expand... Mpwa kusoma unashindwa hata kuangalia picha hutaki? huyu jamaa ni mlachake.
Chrispin said: Kwanza tuambie na wewe unafanya kazi gani kabla hatujaendelea na umbea wako. Click to expand... Mpwa kusoma unashindwa hata kuangalia picha hutaki? huyu jamaa ni mlachake.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Oct 26, 2009 #5 Burn said: Mpwa kusoma unashindwa hata kuangalia picha hutaki? huyu jamaa ni mlachake. Click to expand... Hahahaha! Mpwa kumradhi! Lol!
Burn said: Mpwa kusoma unashindwa hata kuangalia picha hutaki? huyu jamaa ni mlachake. Click to expand... Hahahaha! Mpwa kumradhi! Lol!
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,781 Oct 26, 2009 #6 mlachake said: Hivi wema sepetu anafanya kazi gani? Click to expand... mHHH...! Kazi imeanza sasa!
Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,451 Reaction score 4,655 Oct 26, 2009 Thread starter #7 Burn said: Kazi yake ni msanii wa kuigiza filamu. Click to expand... Kazi itakua inalipa sana jombaa. http://www.globalpublisherstz.com/2009/10/26/az_fumanizi_la_wema.html
Burn said: Kazi yake ni msanii wa kuigiza filamu. Click to expand... Kazi itakua inalipa sana jombaa. http://www.globalpublisherstz.com/2009/10/26/az_fumanizi_la_wema.html