donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Unahitajika wewe usimamieSalam wakuu,
Bila kupoteza muda naomba kuuliza kwa wazoefu vitu vya msingi unabyopaswa kuwa navyo pindi unapotska kuanzisha biashara ya car wash. Vichache naelewa ni:
Pressure washer
Vacuum cleaner
Water supply.
Compressor
Naomba kujua vinginevyo vinavyohitajika kwenye hii biashara
Sawa mkuu, japo nazungumzia in terms of equipmentsUnahitajika wewe usimamie
Eneo yaani SpaceSalam wakuu,
Bila kupoteza muda naomba kuuliza kwa wazoefu vitu vya msingi unabyopaswa kuwa navyo pindi unapotska kuanzisha biashara ya car wash. Vichache naelewa ni:
Pressure washer
Vacuum cleaner
Water supply.
Compressor
Naomba kujua vinginevyo vinavyohitajika kwenye hii biashara
Nashukuru mkuuEneo yaani Space
Maji ya kutosha
Wateja wa maana
Wafanyakazi waaminifu
Na spana kadhaa
Usisahau gum boots, vitambaa safi vya pamba na sabuniSalam wakuu,
Bila kupoteza muda naomba kuuliza kwa wazoefu vitu vya msingi unabyopaswa kuwa navyo pindi unapotska kuanzisha biashara ya car wash. Vichache naelewa ni:
Pressure washer
Vacuum cleaner
Water supply.
Compressor
Naomba kujua vinginevyo vinavyohitajika kwenye hii biashara
Shukrani mkuuUsisahau gum boots, vitambaa safi vya pamba na sabuni
Nimeupata mkuuNatumae mleta mada umepata muongozo...