Naomba kuuliza wadau wa Elimu

Naomba kuuliza wadau wa Elimu

Hamza gugo

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
12
Reaction score
3
Nacte tarehe 10/8/2019 hilitoa luhusa ya kuhama kozi mimi nilihama korongwe teacher college nkaenda MUST hivi ukiama unakuwa bado government sponsorship au private sponsorship
 
Maelezo yako hayajanyooka hio MUST ni kozi?
 
Maelezo yako hayajanyooka hio MUST ni kozi?
[/QUOTE ahn ni kuhama kozi au chuo nikahama korongwe teacher college Ualimu nkahamia chuo Cha MUST kweny koz ya laboratory science and technology ndo hukifanya transfer hunakuw bado under government sporsoxhip au under private sponsorship ?
 
korogwe ni chuo cha ualimu ambapo ukishakamilisha taratibu zote.. kila kitu unapata chuo hapo hapo kama malazi na misosi ( wanapikiwa na chuo) na hata ada zao hazizidi laki 6 kwa mwaka..

MUST nacho ni chuo cha serikal ila gharama zote hizo utajitegemea kuanzia kununua chakula, malazi ( hostel) au nje ya hostel na ada zake ni kubwa kuliko za chuo cha ualimu..
 
ndonyie wa form 4 mliopangiwa direct vyuoni?
 
Back
Top Bottom