NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
You need the egg testMda wa kupiga bao na mda wa kwenda hospital unafanana?
Pole sana ww n mhangaKwa nini umezaa kabla ya ndoa kwanza!?
Wakati wa kuiweka hiyo mimba muda ulikuwa nao tele saa hizi kumpeleka mtoto hospitali ndio unakuwa huna muda kweli?
Huyo mzazi mwenzio yeye ndio hana kazi au kazi yake yeye haogopi kuipoteza? Au huyo bosi wako unakofanya kazi mwanaye akiumwa naye haendi kumpeleka hospitali?
Ebu muwe considerate kidogo, mtu umemzalisha, na kwa mwandiko wako huu inaonekana hujamuoa, hiyo siku moja anayotaka ushiriki katika makuzi ya mtoto wako ndio unamleta JF kumuanika!!!?
Nyie ndio mnakuja kujitambulisha uzeeni eti "mimi ndio baba yako" Ukiona mtu anajitambulisha ujue kuna kipindi katika maisha ya mwanae hakuwepo.
Jaamaa n kama hua hapashSisemi usimsikilize ila na yeye huyo mzazi mwenzio ana chukua advantage anajua una respond vizuri anajua weakness yako iko wapi,hana jipya zaidi ya wivu unaomsumbua anadhani kukupelekesha hivyo ndio sawa,chakufanya kaanae chini talk to her like a Man kua hutokua nae mda wowote aanaposema yeye as kuna mda unakua kazini,au na mishemishe zakutafuta maisha,na hata huko hospital wewe ukifika unakoingea nini wakati yeye ndio anaelala nae nakuamka nae?
timiza majuku yako kama baba lakini usi jaribu ku meet her expectations sababu huwezi nakwambia hivyo wengi wetu wanawake wanajaribu kukupelekesha wakikuona unaelekea..
Anatakiwa amweleze mzazi mwenzie yamuingie na yake kichwani ...Jaamaa n kama hua hapash
Kiporo wakutanapo
Poleni na majukumu ya kulea watoto
Miye naomba kujua kutoka kwenu wadada mliozaa hivi jambo gani ambalo huwa mnaitaji zaidi kutoka kwa baba wa mtoto ambaye umezaa naye haijalishi unaishi naye has auishi naye kwanini nasema hivi Kuna mamba haya ambayo huwa yananitatiza
Mwanaume kazaa na binti anampa maitaji yote ya mtoto na wakipata mda wanakaa wanazungumza mambo kadhaa wa kadhaa moja yapo maendeleo ya mtoto nk, lakini pamoja na yote haya utakuta mwanamke anaanzisha kelele zisizo na kichwa wala miguu kelele hizo ni hizi
Utakuta akiwa na wageni anaitaji uende wakuone ukimwambia upo bize kelele
Mtoto akiwa na Homa anaitaji muende wote hospital, ili hali anajua wewe unafanya kazi za watu na hiyo kazi ndio inawaweka mjini ila atataka usiende kazini muempeleke mtoto hospital ukimwambia nenda pesa ya usafiri hii hapa nk chochote kikitokea nijuze ataki anataka muende wote
Eti dada zangu huwa mtaka nini cha ziada maana sielewi upendo mwingine mnaoutaka jamani kwa maisha ya kibongo bongo ni mgumu sana maana ukiacha kazi ina maana mtalala njaa.
Huyo jaamaa nae atakua nAnatakiwa amweleze mzazi mwenzie yamuingie na yake kichwani ...
ndi wale waleinaonyesha nawe ni mhanga wa hii kitu!
Ni mhanga kwa sababu kuna mtu ana akili kama za kwako alimpa mimba mdogo wangu. Alipojifungua huyo mdogo wangu na mtoto akachangamka, akaniachia huyo mtoto yeye mama mtoto akarudi shule. Baba wa mtoto yupo busy na kazi kama wewe, hata mia hatoi, mtoto hata alazwe hospitali huyo baba humuoni kuja kusalimia, ni vizuri hivyo kweli!!?Pole sana ww n mhanga
Yako n.kubwa kuliko ya mleda mada
Jamaa amependa lakini mwanamke kuelewa ndio tatizo,sio rahisi kwa mwanamme kukubali upuuzi wote huo,lakini huyu ni mungwana sasa mdada ana chukua advantage ya penzi au heshima anayo pewa ...Huyo jaamaa nae atakua n
Bobyokwa mwanaume
Hakumbushwi ila
Viashiria vya mzaz mwenzie
Vnatosha jamaa kujiongeza
Mwenyw
Skuzote mwanamke akiwa
Anataka hua anaongea kwa matendo
Na c kwa mdomo
Kama wanaume tunavopayuka
Kwa wanawake
Ngoja mdogo wako afanyiwe hivi au usubiri mwanao wa kike afanyiwe hivi halafu urudi hapa useme ni "ndi wale wale"ndi wale wale
Lakini hiyo case yako ni tofauti na ya mtoa mada, ndio maana hata mimi naona kama ile post ulikuwa umepanikiNi mhanga kwa sababu kuna mtu ana akili kama za kwako alimpa mimba mdogo wangu. Alipojifungua huyo mdogo wangu na mtoto akachangamka, akaniachia huyo mtoto yeye mama mtoto akarudi shule. Baba wa mtoto yupo busy na kazi kama wewe, hata mia hatoi, mtoto hata alazwe hospitali huyo baba humuoni kuja kusalimia, ni vizuri hivyo kweli!!?
tehe tehe teheAnakutafutia visingizio aanze kuchedwa nje