sagara sagara
Member
- Oct 8, 2016
- 39
- 34
inaonyesha nawe ni mhanga wa hii kitu!Kwa nini umezaa kabla ya ndoa kwanza!?
Wakati wa kuiweka hiyo mimba muda ulikuwa nao tele saa hizi kumpeleka mtoto hospitali ndio unakuwa huna muda kweli?
Huyo mzazi mwenzio yeye ndio hana kazi au kazi yake yeye haogopi kuipoteza? Au huyo bosi wako unakofanya kazi mwanaye akiumwa naye haendi kumpeleka hospitali?
Ebu muwe considerate kidogo, mtu umemzalisha, na kwa mwandiko wako huu inaonekana hujamuoa, hiyo siku moja anayotaka ushiriki katika makuzi ya mtoto wako ndio unamleta JF kumuanika!!!?
Nyie ndio mnakuja kujitambulisha uzeeni eti "mimi ndio baba yako" Ukiona mtu anajitambulisha ujue kuna kipindi katika maisha ya mwanae hakuwepo.
Ivi, ajali ikitokea kwenye kazi isiyo rasmi utatafuta mbinu za kupoteza ushahidi then at the end of the day ufanye plastic surgery kabisa kuondoa any trace of evidence, au utakubali matokeo ubaki na kovu? Labda tuanzie apo then tutaelewana.Kwa nini umezaa kabla ya ndoa kwanza!?
Wakati wa kuiweka hiyo mimba muda ulikuwa nao tele saa hizi kumpeleka mtoto hospitali ndio unakuwa huna muda kweli?
Huyo mzazi mwenzio yeye ndio hana kazi au kazi yake yeye haogopi kuipoteza? Au huyo bosi wako unakofanya kazi mwanaye akiumwa naye haendi kumpeleka hospitali?
Ebu muwe considerate kidogo, mtu umemzalisha, na kwa mwandiko wako huu inaonekana hujamuoa, hiyo siku moja anayotaka ushiriki katika makuzi ya mtoto wako ndio unamleta JF kumuanika!!!?
Nyie ndio mnakuja kujitambulisha uzeeni eti "mimi ndio baba yako" Ukiona mtu anajitambulisha ujue kuna kipindi katika maisha ya mwanae hakuwepo.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mzazi mwenzio ana pepo LA ukilaza bila shaka anahitaji maombi ya gwajima tena Leo ndio siku nzuri zaidi maana atapata uponyaji Wa pekee
Kwa nini umezaa kabla ya ndoa kwanza!?