Google si wakweli kwa taarifa sahihi. Barabara ya tabora mwanza kwa sasa ni PAVED
Nimejaribu ku google t8 imeelrzwa kuwa ni unpaved trunk road from Tabora to Kigoma na t18 Tabora to Mwanza, nafikiri sijazichanganya. Nafikiri wataalamu wa usafiri barabarani hasa wanaotumia ramani kutoka sehemu moja mpaka nyingine wanatumia hizo alama (au ndio zinavyooneshwa katika ramani zao). Kuna t3 imeoneshwa inaanzia Morogoro.
Nadhani cha muhimu ni namba ya barabara bila kujari ni ya rami ama si ya rami (paved or unpaved road).
Ni kweli T18 au T8 inawezekana kabisa zilikuwa unpaved wakati Google wanapiga picha ila kwa sasa hizo barabara zina rami, though T8 Tabora to Kigoma rami yake imewekwa kwa vipande vipande.