Habari za humu wakuu,,,
Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ?
Je, matokeo ni mabaya sana ?
Mwenye anajua au mwenye tetesi zozote za nacte kuhusiana na matokeo ya mwaka huu atuambie
Hii ni especially kwa kozi ya Clinical Medicine.
Nakaribisha mawazo yenu asanten...