Naomba kuuliza katika hili...

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Nimeona Mh. Dokta Magufuli ametengua position mbalimbali kama RC,RAS na DED. Amemteua sajini taji (staff Sergeant ) Mayeka kua mkuu wa wilaya ya Chunya.

Sasa najiuliza kwamba je, mkuu wa majeshi akienda wilayani Chunya kuonana na DC atapiga saluti? Hapo naomba kueleweshwa.
 
Mambo yanebadilika Sana kiongozi, haswa kwenye vyombo vya usalama, yani siku hizi Kuna rank na mammlaka
 
Kwa position ya CDF sijabahatika kumuona akikutana hata na wakuu wa wilaya wengine wengi tu ambao ni makanali na bado wanavaa uniform.

Na hapo ndo utata unapokuja kwamba Mkuu wa wilaya ni nembo ya Rais na kimsingi anatakiwa kupigiwa saluti na "all file abd ranks"

Tatizo la sasa ni pale wanapokua wanavaa uniform bado manaake wako active wakati unapoteuliwa walipaswa kuwa reserve

Ngoja nimuulize mtu fulani
 
Ntashkuru mkuu

Na mimi nakuuliza kwani wakati mkuu wa mkoa au wilaya akiwa raia (civilian) mbona makamanda wote wa majeshi including CDF mbona wanapiga salute? Kwa swali lako,lazima apige kwani ni mwakilishi wa Rais.
 
Wanasema chuma kwa chuma cheche,
Na mimi nakuuliza kwani wakati mkuu wa mkoa au wilaya akiwa raia (civilian) mbona makamanda wote wa majeshi including CDF mbona wanapiga salute? Kwa swali lako,lazima apige kwani ni mwakilishi wa Rais.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom