uduzungwa JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 552 Reaction score 544 Nov 10, 2018 #1 Salama wapendwa wangu. Naomba kuuliza kitu. Mbona hizi picha za wasanii kwenye mitandao ni weupe sana kama wazungu ila ukikutana nao live weusi kama mimi tu. Nimewakilisha baadhi ya wanaume washamba wanaokaa mikoani. Uduzungwa.
Salama wapendwa wangu. Naomba kuuliza kitu. Mbona hizi picha za wasanii kwenye mitandao ni weupe sana kama wazungu ila ukikutana nao live weusi kama mimi tu. Nimewakilisha baadhi ya wanaume washamba wanaokaa mikoani. Uduzungwa.
Madimba jr JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 1,577 Reaction score 3,152 Nov 10, 2018 #2 Sa unataka ujibiwe nini wakati tayari jibu unalo
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,039 Nov 10, 2018 #3 Ukishasema Msanii ujue ni Msanii kweli.
Mirhea JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 814 Reaction score 1,384 Nov 10, 2018 #4 Ww ni mweusi kama huo ugoko hapo..