hiyo ni hatua ya awali ya miguu yako kuwa kama ya chui. Hongera sana
Huu ni ugonjwa wa ngozi kwa jina unaitwa Wart aka Masundo sundo aka Visunzi miguuni. Unasababishwa na Virus wanaoitwa kwa jina hili ( Human PapillomaVirus) (HPV)Ni Ugonjwa unaosababishwa na kuambukizwa na maradhi ya zinaa. Unatibika Hospitali na pia dawa za Asili.Nimepata hii kitu haina maumivu wala muwasho je hii ni nini na tiba yake ikoje?View attachment 1642714View attachment 1642715
hiyo ni hatua ya awali ya miguu yako kuwa kama ya chui. Hongera sana