Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,005
- 12,711
Honda CRF 125/250 unazo na bei gani?Zipo pikipiki used ya South African bei nzuri karibu View attachment 1677247
View attachment 1677248
View attachment 1677249
View attachment 1677250
View attachment 1677251
View attachment 1677252
View attachment 1677253
View attachment 1677254
View attachment 1677255
Daah milikosa biashara hapaNaomba mawasiliano ya wauzaji pm au hapa ili niongee nao.
Honda CRF 125/250 unazo na bei gani?
Jawa 42 bei gani
Upo sahihi kinachofanya bei ya Honda Click kuwa juu ni teknolojia iliyowekwa.click hio ni ndege.kwanza ina rejeta ina spid boxa ihaifikii.zipo mpka za milion 8
Mwaka 2000-2015 iwe yenye Carburetor, matoleo yenye fuel injection bei ipo juu.Unataka model ya mwaka gani
Jawa 42 unaisemeaje mkuu kuhusu performanceMwaka 2000-2015 iwe yenye Carburetor, matoleo yenye fuel injection bei ipo juu.
Mwaka 2000-2015 iwe yenye Carburetor, matoleo yenye fuel injection bei ipo juu.
Sio click, hiyo itakuwa ni klikiWaliwakutaa nyie ni wasukumaaa...!Hiyo haizidi mil 2 tena mpyaa dukanii..
Yamaha YZ 125 2-Stroke matoleo ya 1990 mpaka 2004 bei yake vipi.Bei ipo juu sana inasimama kwenye kumi above nategemea na edition
Hizo Jawa 42 sifahamu kiundani, Kwa Dar nimeona kama Mbili wanazo wahindi.Jawa 42 unaisemeaje mkuu kuhusu performance
Mkuu kwanini usitafute Honda CB400 Super Four hii mashine ina nguvu Sana na mlio wa kibabe. Hizo Jawa wahindi nao wanatengeneza sioni ubora wa hali ya juu.Jawa 42 unaisemeaje mkuu kuhusu performance