K KIMALIKE Member Joined Jan 20, 2012 Posts 46 Reaction score 4 Feb 17, 2012 #1 Kuna dada mmoja alijitokeza mda kidogo umu jf alikua anatafuta mchumba(mume wa kumuoa) je Umefanikiwa???
Kuna dada mmoja alijitokeza mda kidogo umu jf alikua anatafuta mchumba(mume wa kumuoa) je Umefanikiwa???
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,628 Feb 17, 2012 #2 Wewe unataka? Sidhani kama kuna muoaji humu lakini ila tangaza tu nia mamii
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,513 Feb 17, 2012 #3 KIMALIKE said: Kuna dada mmoja alijitokeza mda kidogo umu jf alikua anatafuta mchumba(mume wa kumuoa) je Umefanikiwa??? Click to expand... taarifa yako haijitoshelezi... hana jina??
KIMALIKE said: Kuna dada mmoja alijitokeza mda kidogo umu jf alikua anatafuta mchumba(mume wa kumuoa) je Umefanikiwa??? Click to expand... taarifa yako haijitoshelezi... hana jina??
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,930 Reaction score 1,162 Feb 17, 2012 #4 Pm Kwa Mhusika.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,731 Feb 17, 2012 #5 humu kuna ndoa kweli, unaweze ukawa una date na dume siku ya kukutana ukashangaa.
Sordo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 396 Reaction score 122 Feb 17, 2012 #6 Noana smile unakataa maana ilikuwa ni wewe Smile said: Wewe unataka? Sidhani kama kuna muoaji humu lakini ila tangaza tu nia mamii Click to expand...
Noana smile unakataa maana ilikuwa ni wewe Smile said: Wewe unataka? Sidhani kama kuna muoaji humu lakini ila tangaza tu nia mamii Click to expand...
M mkazamjomba Member Joined Jan 27, 2012 Posts 61 Reaction score 21 Feb 17, 2012 #7 mawe yameiva kuni zimebaki
TaiJike JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 1,482 Reaction score 669 Feb 17, 2012 #8 alifanikiwa kukutana na mimi na mwezi huu tunafunga mkataba, pole kwa kuchelewa kuonyesha nia yako.
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,180 Reaction score 12,989 Feb 17, 2012 #9 KIMALIKE said: Kuna dada mmoja alijitokeza mda kidogo umu jf alikua anatafuta mchumba(mume wa kumuoa) je Umefanikiwa??? Click to expand... TaiJike said: alifanikiwa kukutana na mimi na mwezi huu tunafunga mkataba, pole kwa kuchelewa kuonyesha nia yako. Click to expand... TaiJike kwani wewe ni kidume?
KIMALIKE said: Kuna dada mmoja alijitokeza mda kidogo umu jf alikua anatafuta mchumba(mume wa kumuoa) je Umefanikiwa??? Click to expand... TaiJike said: alifanikiwa kukutana na mimi na mwezi huu tunafunga mkataba, pole kwa kuchelewa kuonyesha nia yako. Click to expand... TaiJike kwani wewe ni kidume?