Naomba kutoa hoja....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kutoa hoja.......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KANAN, Aug 24, 2011.

 1. K

  KANAN Senior Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  sasa nitawahoji wanajamii wenzangu, wanao sema ndio waseme sio na wanao sema sio waseme ndio.......hivi wanajamii cheo cha mtu anayeitwa katibu mkuu kiongozi kinaundwa na ibara gani ya katiba? na majukumu yake ni yapi? baada ya kutoa hoja hiyo ambayo nahisi wnajamii wengi mtaichangia sasa naomba nitoe taarifa kwamba pamoja na mbwembwe zote za wabunge mh. nanii amepokelewa kwa kishindo tena ofisin...
   
 2. M

  Marcossy A.M Verified User

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  ‎"Think kiasi gani tumepoteza kama taifa, Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi!
  TICTS, RADAR,NDEGE YA RAIS, SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE, TWIN TOWERS BOT, MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini), KAGODA(EPA), MEREMETA, RICHMOND/DOWANS, WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM), IPTL, NA MINGINE MINGI...
  TUAMBIANE KUWA... SIKU TULIZOSUBIRI, KUVUMILIA, KU...TESEKA NA HATA KUDHARAULIWA KWA AIBU ZIMEKWISHA: NAPENDEKEZA
  JUMATATU HII 29 AUGUSTI 2011 ITAKUWA SIKU TAKATIFU KWETU SOTE KUONESHA UZALENDO WETU KUITETEA NA KUITUKUZA NCHI YETU KWA KUONESHA KWA VITENDO KUCHUKIZWA KWETU NA MAOVU YOTE TULIYOSHUHUDIA KWA ZAIDI YA MIAKA 30 SASA! NJOONI KILA MMOJA KWA BARABARA YAKE KWA AMANI NA UMOJA WETU TUELEKEE MNAZI MMOJA. WALIOKO MIKOANI WAELEKEE OFISI ZA SERIKALI MIKOANI, NA WILAYANI KWAO.Amini katika Mungu! Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.
   
 3. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  mawazo yako ni mazuri lakini mh" hivi unajua waTZ njinsi walivyo? Kama ulikuwa haujui basi ni hivi: kwa taarifa yako 80% ya waTZ wote ni waoga kupita kiasi siku zote wao ni mabingwa wa kuongea lakini hawana loloteeee! Mi nakushauri kabla ya kufanya hivo labda kwanza itolewe elimu ya uraia ili angalau kila raia ajitambue yeye ni nani katika nchi hii akishajua haki zake ni zipi hapo ndio utapata matunda mazuri . Vinginevyo utapoteza muda wako bure, waTZ bado wamelala hawajui kabisa haki zao ndo mana kila kikicha wanaburuzwa tu kwa sababu wao ni watalamu wa kuongea tu.
   
Loading...