Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,659
- 19,376
Wapi Hisaje? Mbona ya longkitambo ile?
Wapi Hisaje? Mbona ya longkitambo ile?
Mada za mwisho wa mweziWanaJF mnaoishi maeneo ya Bunju na Mapinga weekend hii niko huku navinjari kidogo na kuondoa mawazo. Tatizo ni kuwa si mwenyeji wa huku hivyo naomba mnifahamishe viwanja vya kula bata na kujidai ili jioni hii nikajidai na Mimi
Karibuni