Naomba kushauriwa kuhusu mbegu bora ya alizeti

Maxmax72

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
530
981
Wakuu kwema? Baada ya kijikita kwenye kilimo huku mkoani Mwanza,nimeona fursa ya kilimo cha alizeti kwani uhitaji wa mafuta ni mkubwa sana kwa mfano Lita 20 ya mafuta ya pamba inauzwa hadi elfu 85000.

Nimeamua nijikite kwenye kilimo hiki cha alizeti naombeni ushauri wa mbegu bora,namna ya kuaandaa shamba na mda mzuri wa kulima.

Asanteni.
 
Tafuta bwana shamba wa eneo lako ,atakupa ushauri wa aina za mbegu na udongo gani unafaa.ova.
 
Tafuta iyo utakuja kunishukuru baadae

Iyo 1 kg unapanda heka moja mfuko uo inauzwa 35K Kwa mfuko

Usipo weka mbole utacheza na 10-15 Kwa heka ukiweka mbolea utaenda hadi 25.

IMG_20210201_125207.jpeg
 
Tafuta iyo utakuja kunishukuru baadae

Iyo 1 kg unapanda heka moja mfuko uo inauzwa 35K Kwa mfuko

Usipo weka mbole utacheza na 10-15 Kwa heka ukiweka mbolea utaenda hadi 25.

View attachment 1777265
Kumbe alizet inatiwa mbolea, huku mtaani tunaamini kua alizeti haipandwi kwambolea wala haikuzwi kwambolea tunasema inajikusanyia mbolea yenyewe kumbe tupo wrong
 
Back
Top Bottom