Naomba kusaidiwa tafsiri ya ndoto

Naomba kusaidiwa tafsiri ya ndoto

Peril22

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
1,851
Reaction score
3,209
Habari za usiku huu wakubwa.

Aisee mpaka naamua kuandika uzi usiku huu ni kwamba mambo yamenifika shingoni.

Nina kipindi cha kama wiki mbili au tatu mfululizo kila nikilala naota ndoto nikipambana either na mnyama mkubwa(tembo, nyati au simba), binadamu mmoja mwenye weledi wa juu kabisa, watu wengi(sio chini ya wanne na hawazidi kumi), mbaya zaidi hapa nilipoamka kuandika uzi huu nimeota nipo msibani ila marehem kaamka na kuanza kunikimbiza akiwa na panga kubwaa mkononi.

Katika scenario zote hizo nimekuwa nikishinda ila kwa mbinde sana. Mwanzo nilichukulia kawaida ila sasa hali inanizidia katika ndoto najikuta napambana mpaka nikiamka nahisi kama nilikuwa napigana kweli.

Naomba mwenye kuelewa ndoto za namna hii zina maana gani anifumbue macho.

Natanguliza shukrani.
 
Jizuie kula nyama nyingi na mavyakula mengi kupita kiasi halafu uwe unafanya kila siku mazoezi na umtangulize mungu pia zaidi ya yote usiku kunywa maji tu lala tumbo likiwa smart sio unakuwa umeshiba mda wote, mtangulize mungu kabla na baada ya kulala.
 
Jaribu kuhama hapo..

Jaribu hata kulala lodge au nyumba ingine kwa siku tatu
Ukiona huoti hizo ndoto..shida iko na hiyo nyumba..fanya uhame
Ukweli nikilala sehemu tofauti sioti hizi ndoto, mbaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kazi kuhama kidogo ni kipengele.
 
Q
Habari za usiku huu wakubwa.

Aisee mpaka naamua kuandika uzi usiku huu ni kwamba mambo yamenifika shingoni.

Nina kipindi cha kama wiki mbili au tatu mfululizo kila nikilala naota ndoto nikipambana either na mnyama mkubwa(tembo, nyati au simba), binadamu mmoja mwenye weledi wa juu kabisa, watu wengi(sio chini ya wanne na hawazidi kumi), mbaya zaidi hapa nilipoamka kuandika uzi huu nimeota nipo msibani ila marehem kaamka na kuanza kunikimbiza akiwa na panga kubwaa mkononi.

Katika scenario zote hizo nimekuwa nikishinda ila kwa mbinde sana. Mwanzo nilichukulia kawaida ila sasa hali inanizidia katika ndoto najikuta napambana mpaka nikiamka nahisi kama nilikuwa napigana kweli.

Naomba mwenye kuelewa ndoto za namna hii zina maana gani anifumbue macho.

Natanguliza shukrani.
Kutokana na ufafanuzi wa wafasiri wa ndoto katika ulimwengu wa kiislam.Namzungumzia mwanazuoni Ibn sirin ...wanasema kumuota mnyama mkali kama simba kuna maanisha kuwa ni adui mwenye nguvu. Hivyo kumshinda mnyama mkubwa na mkali kunamaanisha kuwa umemshinda adui wako mwenye nguvu.

Allah ndie mjuzi zaidi
 
Nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom