Unaponunua simu tambua kuwa internal storage yako inagawanyika mara tatu
#kulingana na mimi#
Kua system parttion ambayo ndio rom inakuwa imebebwa hapo
Pili kuna partition kwa ajili ya apps hii huendana na hiyo ya
Tatu ambayo inakuwa kama media storage
So hata uwe na 8 gb inawezekana 4 ikaliwa na rom then hapo palipobaki kama hapana partition utapata gb zako Nne kwa ajili ya apps na media storage
Otheryc kama na penyewe pana partion kwa ajili ya apps na media ndiko shida inakoanzia
Sijapitia sana tatizo hilo japo sasa nitafuatilia if any way ya kufanya then ......!!