Naomba kusaidiwa chuo ambacho ntapata cheti cha computer

mrsmau

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
462
Reaction score
490
Habari...naomba kusaidiwa chuo ambacho ntapata cheti cha computer kwa uharaka zaidi nahitaji kwa haraka hata kwa kusoma wiki 1 tu nipate cheti ni muhimu
 
Dar es salaam institute of technology (DIT) wanatoa short course ya computer lakini ni miezi miwili
 
Back
Top Bottom