Naomba kurogwa

Kama nyie wachawi si mumroge mkulu wa nchito kule jumba jeupe ili tusajiri dereva mwingine
 
Tulia mkuu upigwe kichomi cha makalio wewe utasimama miaka yote hukai
 
Naomba details zako za ukweli..jina lako kamili.jina na mama yako kamili na mahali ulipo..
Soma post za mwanzo, niliandika kila kitu. Kazi kwako mkuu.

Naomba uniroge fasta boss. Nipige hata upofu au kifafa, au nipige uchizi niokote makopo.

Natanguliza shukrani.
 
Soma post za mwanzo, niliandika kila kitu. Kazi kwako mkuu.

Naomba uniroge fasta boss. Nipige hata upofu au kifafa, au nipige uchizi niokote makopo.

Natanguliza shukrani.
Matokeo ya nyota yanaonyesha ulishalogwa mkuu..
 
Yaani hadi kufikia hatua hiyo ushalogwa! Unataka ulogweje kwamfano!!!
 
Soma post za mwanzo, niliandika kila kitu. Kazi kwako mkuu.

Naomba uniroge fasta boss. Nipige hata upofu au kifafa, au nipige uchizi niokote makopo.

Natanguliza shukrani.
Hivi mpk leo upo bado hujaokota makopo?
 
Wanaangalia faida kwamba watafaidika na wewe VP viminof huna vp wataweza kugawana mapande ya nyama
 
Duh. Hata km nilikuwa nalogaga hapo s ningeharibu uchawi sasa!!
unamuhitaji Yesu tu. Ukishampata utajua km awali ulikuwa umelogwa au kumpata Yesu ndio umelogwa mkuu
Hakuna kitu kama hcho mkuu. Sijarogwa kabisa.

Naomba uniroge boss.
 
Kwailo jina lako tu la mfukua kaburi, basi naamini hakuna wa kukuroga umu ndani, maana weye ni mtahaluma wa ayo mambo ya kishirikina mpaka ukafikia cheo cha mfukua makaburi weye ni noma.
 
Uzi huu ni wa mtu aliyerogwa.
Kurogwa si mpaka umiminiwe maji ya maiti kichwani au kulazwa makaburini kama vituko vya kule ujiji na Sumbawanga, kibondo,bagamoyo.Hivyo nimbwanga tuu .Uchawi nikushikwa fahamu ili uwe kinyume nyume.
Aliyerogwa haamini kama amerogwa
 
Hilo jina lake tu la MFUKUA MAKABURI UTAJUA Jamaa yupo vizuri atakuwa ameaga wazazi nyumbani.Na kama hauamini uchawi kuna hawa jamaa walikamatwa Nigeria wakila nyama za watu.Je ni ugonjwa,vichaa au wachawi.Naomba BEIRA akujaribu kwani naye si mtu mdogo!

Kwailo jina lako tu la mfukua kaburi, basi naamini hakuna wa kukuroga umu ndani, maana weye ni mtahaluma wa ayo mambo ya kishirikina mpaka ukafikia cheo cha mfukua makaburi weye ni noma.
Najua na nina hakika hakuna wa kuniroga humu au huko nje kwa kua uchai haupo na haujawahi kuwepo.

Kama mtu anadai uchawi upo basi niko tayari kurogwa.

NAOMBA KUROGWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…