Kutokana na ushindani uliopo hivi sasa;nimekuja kivingine kabisa.Nitagawa hizi noti kwa yeyote ambaye yuko tayari kuungana na mimi atapata huu mzigo.Na utakusaidia kuboresha maisha yako ya sasa na baadaye.
Hivyo basi,ninaomba kura yako;ni mimi kwa niaba ya Chukua Chako Mapema(CCM).