Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
hakuna Radio ninayoipenda kuisikiliza kama RFA, jamaa wapo vizuri na vipindi vyao. ikifikaga saa 12 jioni mpk saa 2 usiku, bado alfjairi lzm niamke nao, watangazaji wana weledi. claus naisikiaga nikiwa kwenye daladala. ndio nikasikia eti njiapanda kipindi bora cha kijamii, wakati njiapanda ilikuwa zamani enzi ze sebastian ndege, mtu kweli yupo njiapanda, kuna kipindi kipo RFA j.2 asubuhi cha kijamii ni kweli watu wana matatizo balaa. hao promo eti TZ ikisema yes hakuna wakupinga, na sasa hivi wataingia kwenye kampeni ya mgombea mmoja subirini.