Mugabe wa Bongo
Senior Member
- Apr 14, 2012
- 145
- 73
Binafsi nimeshawahi kufanya kazi na SYNOVATE/IPSOS, kale kautaratibu kao ka-malipo kiduchu ya kinyonyaji huwafanya wakusanya takwimu wao [vibarua] kupika data. Ile menejimenti yao ya wakenya [iliyokuwepo miaka ya 2009] haikuwa vizuri sana. japo wana media monitoring room, sina uhakika na takwimu zao. Kusema kweli tangu nifanye nao kazi na kuwaelewa vizuri siamini tena tafiti zao Mugabe wa BongoHabari za majukum wana JF, Nimesikia kuna taasis inaitwa IPSOS ambayo ni taasis inayofanya research na kutoa majibu kuhusu usikivu na idadi ya wasikilizaji pamoja na ubora wa Vipindi na watangazaj wa Radio na TV.
Clouds Media naona wanajinadi wao ndio wameonekana kua bora kuliko vipindi vyote vya radio hapa Tanzania na watangazaji wake ndio watangazaji bora kuliko watangazaji wote Tanzania.
Je IPSOS profile yao ipoje, Mwenye kuifahamu naomba atujulishe vizuri kabla hatujaanza kuchambua ukweli kuhusu hayo majibu ya utafiti wao walioufanya!
Mpwa wana ofisi TZ karibu na MyFair, ni wahuni wahuni tu, bora hata REPOA yetuMimi naijua Ipsos Synovate iliyoko Nairobi ambayo ni maarufu kwa kutoa Opinion polls haswa nyakati za uchaguzi mkuu
Binafsi nimeshawahi kufanya kazi na SYNOVATE/IPSOS, kale kautaratibu kao ka-malipo kiduchu ya kinyonyaji huwafanya wakusanya takwimu wao [vibarua] kupika data. Ile menejimenti yao ya wakenya [iliyokuwepo miaka ya 2009] haikuwa vizuri sana. japo wana media monitoring room, sina uhakika na takwimu zao. Kusema kweli tangu nifanye nao kazi na kuwaelewa vizuri siamini tena tafiti zao Mugabe wa Bongo