Mugabe wa Bongo
Senior Member
- Apr 14, 2012
- 145
- 73
Habari za majukum wana JF, Nimesikia kuna taasis inaitwa IPSOS ambayo ni taasis inayofanya research na kutoa majibu kuhusu usikivu na idadi ya wasikilizaji pamoja na ubora wa Vipindi na watangazaj wa Radio na TV.
Clouds Media naona wanajinadi wao ndio wameonekana kua bora kuliko vipindi vyote vya radio hapa Tanzania na watangazaji wake ndio watangazaji bora kuliko watangazaji wote Tanzania.
Je IPSOS profile yao ipoje, Mwenye kuifahamu naomba atujulishe vizuri kabla hatujaanza kuchambua ukweli kuhusu hayo majibu ya utafiti wao walioufanya!