Naomba kupewa elimu kuhusu tatizo la ingrown nails

kataza

Member
Sep 5, 2014
20
50
Habari comrades,

Nina ndugu yangu anatatizo tajwa kwa muda. Wa miaka 7 sasa ametumia antibiotics na antifungal lakini hakuna nafuu kabisaaaa.

Naomba kufahamishwa kuhusu risk factors, causes, investigations and Rx

20230924_160352.jpg

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kitu naijua. Hua hata mimi ninayo. Kuna kipindi nlienda wakakata almost nyama yote around my toe.
Njia pekee naitumia ni kuhakikisha sikati kucha mpaka chini kabisa. Naziacha kwa juu kidogo ili kucha isitoboe nyama around kidole.

Pole sana.

I know the feeling
 
Ingrown nail inatokana na nailbed kuingia kwenye sehemu ya nyama. Sasa huyo ndugu hizo antifungal na antibiotics alitumia za nini.

Kuna nail cutter maalum ya kuzikata ingawa inaumiza na kuna njia ya kufanya surgery sijui kama bongo ipo. Huyo anayo kwa vidole vingi huwa naiona kwa kidole kimoja kila mguu hasa gumba
 
Hapo ndio hujakata hadi chini? Mbona ziko tu chini kabisa ama ulimaanishaje?
Za,mikono hua nakata kama circle kwa pembeni maana kubaki na kucha ndefu kwa mwanaume sio staha. So after every 2 to 3 weeks nazikatA. Nkisahau unakuta zinatoboa mpka usaha kwa pembeni.

Za miguuni ndo naziacha kwa juu kidogo maana huko ndo walishacharanga hospitali.

Kitu ambacho lazma niwe nacho ni nail cutter. Nnazo kama size 3 tofaut kwa kucha tofaut tofaut. Siku ya kukata kucha ni process sio ndogo
 
Ingrown nail inatokana na nailbed kuingia kwenye sehemu ya nyama. Sasa huyo ndugu hizo antifungal na antibiotics alitumia za nini.
Kuna nail cutter maalum ya kuzikata ingawa inaumiza na kuna njia ya kufanya surgery sijui kama bongo ipo. Huyo anayo kwa vidole vingi huwa naiona kwa kidole kimoja kila mguu hasa gumba
Umenikumbusha kitu..
Kwa gumba hata mie kuna wakati huko zamani niliwahi ipata. Ilikuwa nikimaliza miezi kama miwili sijafanya pedicure lazima kidole gumba kimoja nikute ishaingia ndani. Na ilikuwa inaingia tu kidunchu lakini inauma

Mpaka rangi mmoja akanambia niwe nafanya pedicure kila after two week. Nikawa nafanya… nina miaka sasa hata nikikaa mwezi sijafanya pedicure sikuti imeingia ndani.

Lakini kwa mtoa mada naona iko too much 🥹 mpaka nimejisikia vibaya.
 
Umenikumbusha kitu..
Kwa gumba hata mie kuna wakati huko zamani niliwahi ipata. Ilikuwa nikimaliza miezi kama miwili sijafanya pedicure lazima kidole gumba kimoja nikute ishaingia ndani. Na ilikuwa inaingia tu kidunchu lakini inaum...
Huwa inauma sana hiyo. Ni nailbed inatakiwa kufifishwa isiwe inaota inang'ata nyama
 
Za,mikono hua nakata kama circle kwa pembeni maana kubaki na kucha ndefu kwa mwanaume sio staha. So after every 2 to 3 weeks nazikatA. Nkisahau unakuta zinatoboa mpka usaha kwa pembeni...
Jamani pole mwaya. Kama umeshajua namna ya adaptation ni nzuri sana. Just fit with the situation, jitahidi tu usiwe unasahau.

Mimi size hiyo uwa nahisi kuumia. Kwanza siwezi kujikata kwa hiyo size.
 
Jamani pole mwaya. Kama umeshajua namna ya adaptation ni nzuri sana. Just fit with the situation, jitahidi tu usiwe unasahau.
Mimi size hiyo uwa nahisi kuumia. Kwanza siwezi kujikata kwa hiyo size.
Thank you.

Hua nkisahau ntajua tu maana zitaanza kuuma na kutunga usaha vbaya mno.

Sema kwa kua ni tangu utotoni nshazoea so hua nakua makini sana. Hata kukata nshazoea nazikata vzur tu
 
Habari comrades,

Nina ndugu yangu anatatizo tajwa kwa muda. Wa miaka 7 sasa ametumia antibiotics na antifungal lakini hakuna nafuu kabisaaaa.

Naomba kufahamishwa kuhusu risk factors, causes, investigations and Rx

View attachment 2762389

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app

Tatizo:

Ni pale ukucha unapoingia kwenye upande wa nyama au ngozi ya kidole husika.

Visababishi:

1: Ukataji mbaya wa kucha
2: Ukataji usiofaa wa kona za kucha
3: Ajali inayohusisha kucha
4: Viatu vinavyobana(kwa muguu).
5: Maumbile yasiyovyema ya kucha

Tiba:

Hutegemea na kiasi cha tatizo
1: Kuondoa nusu au sehemu ya ukucha
2: Kuondoa ukucha mzima
3: Kutumia antibiotics kabla au baada ya upasuaji kulingana na hali halisi
4: Kuzuia visababishi hapo juu kwa vinavyoepukika

NB: Uondoaji ukucha huusisha kupewa dawa ya ganzi/usisikie maumivu.
 
Back
Top Bottom