Naomba kupata mwenyeji Mwakaleli, Mbeya

Naomba kupata mwenyeji Mwakaleli, Mbeya

Root root AE

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
207
Reaction score
354
Habari wakuu,

Niliwahi kuomba ushauri kuhusu eneo lipi niende kati ya TUKUYU au KYELA wadau wakanishauri niende kuishi eneo moja linaitwa Mwakaleli.

Hivo nilikua naomba kama unaishi Mwakaleli au una mtu eneo hilo ambaye anaweza kuwa mwenyeji wangu tuwasiliane PM.
 
Mkuu huko Mwakaleli ni kijijini interior kupita maelezo.

Hakuna mishe rasmi za vijana wanaochakalika huko wamejaa wazee na vijana makamo ya shule.

Vijana wengi wakimaliza shule na kufikia umri wa kutafuta maisha wanakimbilia tukuyu au mbeya mjini.

Jitafakari kwanza mkuu na jaribu kupaelewa kwa undani huko Mwakaleli kabla ujaamua kwenda huko.
 
Habari wakuu,

Niliwahi kuomba ushauri kuhusu eneo lipi niende kati ya TUKUYU au KYELA wadau wakanishauri niende kuishi eneo moja linaitwa Mwakaleli.

Hivo nilikua naomba kama unaishi Mwakaleli au una mtu eneo hilo ambaye anaweza kuwa mwenyeji wangu tuwasiliane PM.
Nenda sehemu inaitwa kandete, hapo ni mjini kidogo, guest zipo. Huhitaji wenyeji, watu karibu wote watakuwa wenyeji wako. Ni wakalimu sana. Ukiboreka jitetee tutakuelekeza cha kufanya, chakula karibu na bure. Ukimwi uko pia ingawa siku hizi hausemwi sana. Ungesema unahitaji kufanya nini ingekuwa bora zaidi.
 
Mkuu aliyekushauri mwakaleli alikuuza, nenda Tukuyu mjini au Kyela

Huko Mwakaleli alikudanganya mkuu
 
Habari wakuu,

Niliwahi kuomba ushauri kuhusu eneo lipi niende kati ya TUKUYU au KYELA wadau wakanishauri niende kuishi eneo moja linaitwa Mwakaleli.

Hivo nilikua naomba kama unaishi Mwakaleli au una mtu eneo hilo ambaye anaweza kuwa mwenyeji wangu tuwasiliane PM.
tafuta na cha mwakaleli kabisa huko
 
Mwakaleli yamebaki mashamba na wazee tupu plus uchawi ndo kwao sema kuna ardhi nzuri kilakitu kinakubali kasoro mpunga tu
 
Kati ya miji nenda Tukuyu mjini,Kiwira au Ushirika unaeza anzisha chochote ki uchumi pia watu ni mchanganyiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom