Wadau msaada wenu naomba mnisaidie kupata chaneli za kituruki zaidi ya hizi za
SES 5 at 5.0°E ambazo ni Samanyolu na TRT Türk,kama kuna angle nyingine naweza pata zaidi ya hizi naomba msaada wako.
Mi nafikiri ingekua bora ukasema specific channel na hasa kuzitaja kwa majina ndo ingekuwa rahisi kusaidiwa kwa sababu channel zipo position tofautitofauti so unavyoitaja jina itakuwa nafuu.