Naomba kuondolewa ujinga kwa haya

Naomba kuondolewa ujinga kwa haya

Coster1

Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
48
Reaction score
11
Natanguliza heshima.
Naomba kufahamu yafuatayo huko chuoni.
Nimechaguliwa sua ila wasisi wangu ni hivi.
1:boom inakuaje kabla sjapata mkopo na je nkikosa mkopo boom ntapata?
2:inakuwaje kureport chuo kabla ya mkopo kwa wale wa sua naomba muongozo?
3:nahitaji gharama gani za kuishi chuo mpaka mkopo utakapotoka?
4:je mkopo wa HESLB unajumisha vitu gani?
Nawasilisha wakuu.
 
ntakujbu namba 1na namba 4,, nnavojua mm usipopata mkopo bum pia hupat kwa sababu bum ni sehem ya mkopo, zen mkopo unajumuisha ,tuition fee(ada eidha yote au la inategemea na %),accomodation(garama ya hostel au kod ya chumba kama umepanga),hela ya chakula,garama za stationary, nk, kwa kfup mkopo unaxehem 2 ~ada na bum, ivyo vkolokolo vyote apo juu ukiondoa ada ndo bum ilo~8500 kwa siku na unachukua afta 59 days, mara mbil kwa semister, kaz kwako kubajet ma2miz,,,,
 
Shukran kaka nimekuelewa sanaaaa.
 
yaani ukikosa mkopo ndio nitolee hiyo man iyo boom ni part ya mkopo
Kwahiyo sikuizi mambo yamebadilika ivo? Mbona mm ninamiaka 2 chuoni nilikosa mkopo lakin nina boom (Tuition fee 0% na still ninapata boom kama kawa?
 
mkopo una vitu vi3 ndani yake kwanza Ada, pili boom na hela ya stationary na books kama utapata mkopo kwa 0% maana ake utapewa pesa ya boom na stationary lakini ada haulipiwi na ukipewa - hapo haupatb
 
Kwahiyo sikuizi mambo yamebadilika ivo? Mbona mm ninamiaka 2 chuoni nilikosa mkopo lakin nina boom (Tuition fee 0% na still ninapata boom kama kawa?
Wewe hukukosa mkopo bt ulipewa mkopo 0%,unachopaswa kufahamu ni kwamba mkopo hutolewa kuanzia 0%-100%.
 
Wewe utaendaje chuo bila kujua hatma ya mkopo wako. Kama unategemea loan kutoka Heslb basi ni bora ukasubiria majina ya watakaopewa.

Angalia unaweza kuja kulia kilio cha samaki usione wa kukufuta machozi
 
Nipo sua pia cha msingi kua na subira maana chuo hua kinatoa mda wa kuregister like wiki mbili hivi ko ukienda kabla majina hayajatoka ni sheria kulipa ada yao like 631,500 na cost zingine kabla ya registration ambayo itarange mpk 850,000 ila ukiwait ndan ya wiki hizo hapo hua wanatoa majina ya waliofaidika na mkopo (yaan bodi wanakua washarelease) NB:ukija sua kama hujaja na pesa hizo hapo juu na mkopo bado bodi hawaja release unaweza lala kwenye mtaro maana wao hawajali wanataka pesa
 
Duuuh mbona hatareee
 
Back
Top Bottom