BLISS Member Joined Mar 31, 2011 Posts 54 Reaction score 13 Mar 31, 2011 #1 habari zenu waungwana, na mimi pia imenipendeza kuketi jamvini kubadilishana mawili au matatu, nawaombaa mnipokee jamani tujaribu kubanana jamvini. Asanteni mungu wabariki wote
habari zenu waungwana, na mimi pia imenipendeza kuketi jamvini kubadilishana mawili au matatu, nawaombaa mnipokee jamani tujaribu kubanana jamvini. Asanteni mungu wabariki wote
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,832 Reaction score 13,799 Mar 31, 2011 #2 Karibu sana BLISS.....tutakua pamoja.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Mar 31, 2011 #3 Karibu sana jamvini.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Mar 31, 2011 #4 Karibu sana
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Apr 1, 2011 #5 yaan hapa tayari umeshakaribia keti hapo kwenye mkeka. utakunywa kinywaji gani..:ranger:
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,392 Apr 2, 2011 #7 karibu sana mkuu,jamvi hili kubwa sana kwahiyo wala usipate hofu ya kubanwa banwa.