Naomba Kujuzwa!!!!

Lisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
1,549
Reaction score
1,075
Habari za mchana wana MMU!!!

Kuna mfanyakazi mwenzangu , amamaliza form four mwaka 1996, akapata div four, akaenda kusoma certificate, akafaulu, akasoma diploma akafaulu, sasa kapata pesa ya kujiendeleza, akaambiwa aaply kupitia NACTE. Akafuata process zote za kulipia na kudown load vyeti vyake. akaambiwa asubiri masaa 72, lakini hakujibiwa, nikamshauri aende akawaone, kufika wamemwambia hawezi kusoma bachelor kwa sababu ana pass 3 badala ya 4 kwenye cheti chake cha form four.Sasa mm nashangaa mbona walimruhsu asome certificate na Diploma? si wangemwambia arudie mtihani ili apate credit ndiyo aombe kusoma? kwa kweli amechanganyikiwa, analia tu , imebidi nimwambie aende home akapumzike. NAOMBA KAMA KUNA ANAYEFAHAMU CHOCHOTE KUHUSU HIYO SERA JE HAIWEZI KUWASAIDIA HAWA AMBAO WAMESOMA MPK DIPLOMA ILI WAWEZE KUSOMA BACHELOR?
 
hapo hapo ulitakiwa upenyeze rupia mkuu.ndivyo mambo inavyokwenda unajua this year division 4 pale necta ilikuwa inahongewa 1.8M uondokane na 0 wacha 3 na 2 ndugu penyeza rupia usonge mbele hii ndio tanzania yetu .ukitaka kula lazima uliwe
 
Hiyo ni sheria....equivalent entry lazima awe na hyo pass 4 kwa maana D.Ss km anataka michakato labda akaifanyie Necta.
 
hapo hapo ulitakiwa upenyeze rupia mkuu.ndivyo mambo inavyokwenda unajua this year division 4 pale necta ilikuwa inahongewa 1.8M uondokane na 0 wacha 3 na 2 ndugu penyeza rupia usonge mbele hii ndio tanzania yetu .ukitaka kula lazima uliwe
Mungu wangu 1.8M, haya nitamwelekeza afanye hayo, kama atashindwa ndiyo basi tena. itabidi akafanye Malticulation ya TCU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…