Naomba kujuzwa

Salanga

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
364
44
Habari wanajamvi. Tafadhali kwa mwenye taarifa za kozi zinazotolewa na chuo cha ustawi wa jamii kinachosimamiwa na wizara ya afya. Imetokea nikisikia sikia lakini sijafanya chochote kujua ,hivyo mwenye information amwage hapa jamvini kwa faida ya wote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom