bila shaka hilo ni tangazo la kazi lililohitaji kibali cha ajira kutoka utumishi.kama unavyojua taasisi zote za serikali haziwezi kuajiri mpaka wapewe kibali na utumishi.............sasa kwa kazi ambayo wewe unataka kuomba kibali kilichotolewa ndio chenye kumbukumbu namba (bc.10/87/01/e/73).kwa hiyo unapoomba kazi hii unatakiwa uonyeshe hii namba ya kumbukumbu. Mara nyingi kwa ajili ya rejea za kiofisi.nadhani utanielewa,nimejitahidi kueleza ninavyoelewa.(i) candidates should indicate the permit reference number i.e. (bc.10/87/01/e/73) in their letters
inamaana gani,yeyote anaefaham!
bila shaka hilo ni tangazo la kazi lililohitaji kibali cha ajira kutoka utumishi.kama unavyojua taasisi zote za serikali haziwezi kuajiri mpaka wapewe kibali na utumishi.............sasa kwa kazi ambayo wewe unataka kuomba kibali kilichotolewa ndio chenye kumbukumbu namba (bc.10/87/01/e/73).kwa hiyo unapoomba kazi hii unatakiwa uonyeshe hii namba ya kumbukumbu. Mara nyingi kwa ajili ya rejea za kiofisi.nadhani utanielewa,nimejitahidi kueleza ninavyoelewa.