Naomba kujuzwa Vyuo vya nje ya Tanzania vinavyotoa Kozi za Wanyamapori

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Habari wanajamii forums,

Leo wakuu naomba kujulishwa vyuo gani vinavyotoa kozi za wanyamapori (WILDLIFE COURSES) kwa AFRICA. Nilikuwa naomba kufahamu na Courses zinazotolewa. Kuna watu watauliza mbona Pasiansi na Mweka vipo, nilikuwa nataka Vyuo nje ya Tanzania hasa bara la AFRIKA
 
GOOGLE
 
Back
Top Bottom